Natafuta mke

Natafuta mke

Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa[emoji4]
Mkuu, kama upo serious kweli kweli na unamaanisha emu nichek PM nikupe direction moja nzuri utanishukuru.

Bare in mind sihitaji chochote toka kwako ila kama ni muhuni tu wa mtaani usinitafte, tutakosana.

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
Sio hadi zivu liote mvi?🤣🤣🤣 manake kope tayari, aah nyie watu mmekuwa wajuaji sana, tumechoka!
Vzzzz si kitu, kope ndio mchoko wa maana.....
Ndo vizuri bro bendera chuma mlingoti chuma 🤣🤣🤣
 
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa[emoji4]
Age hiyo bado watoto sana. Utaumia,pia wako Instagram,fb na tiktok saa hii
 
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
Una matatizo gani mengine?
 
ukishiriki kikamilifu kwenye ibada, misa, maombi na maombezi. warsha seminar na makongamano mbalimbali ya viijana na vijana wenzio.

na ukiwa una nia ya dhati kabisa na umemshirikisha Mungu kinagaubaga.
Basi ni hakika bila mbambamba Mungu atamtuma huko unaemuhitaji na kirahisi sana mtakutana mtaelewana mtaenda kujivinjari mpaka kifo kiwatenganishe 🐒

kumbuka, yupo mdada nae anaekutafuta....

hembu toka ndani huko ulikojifungia na usijifiche sana nyuma ya keyboard na Mungu akubariki sana,
Aimen 🌹
 
Back
Top Bottom