Natafuta mke

Natafuta mke

De-zerbi

Member
Joined
Mar 7, 2024
Posts
82
Reaction score
103
Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo
  • Awe na umri miaka 25 mpaka 28
  • Awe mkristo ila sio msabato
  • Elimu-degree yeyote
  • Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili
  • Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe naishi Dar
  • Asiwe kinonge
  • Kabila lolote
Wale watu wa-masihara nawaombeni msiniharibie uzi
 
  • awe na umri miaka 25 mpaka 28
  • Awe mkristo ila sio msabato
  • Elimu-degree yeyote
  • Akubali kwenda kupima group la damu, hiv na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili
  • Awe anaishi dar sababu mimi mwenyewe naishi dar
  • Asiwe kinonge
  • Kabila lolote
Ongezea:

  • Awe na kazi
  • Awe na mtoto
 
Single mother ungeweka wazi kama unawahitaji au lah maana ndo wapo wengi wenye uhitaji, haha
 
Back
Top Bottom