Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo
- Awe na umri miaka 25 mpaka 28
- Awe mkristo ila sio msabato
- Elimu-degree yeyote
- Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili
- Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe naishi Dar
- Asiwe kinonge
- Kabila lolote
