mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
mkuu mke mwema wa kuoa hatafutwi kwenye keyboard. Naomba nikuondoe haya mawazo mgando mwanamke wa kuoa hatafutwi kwa matangazo usiifanye biashara. Mwanamke wa kuoa huja kwenye mazingira ambayo wewe huwezi kutegemea, wanawake wa kwenye keyboard utawapata wale ambao wameshatumika sana kwa hiyo wanaona mda wao wa kuolewa umefika kwa hiyo watapretend kwa kila kitu
Mkuu utapata mke kweli wakati hata umri wako huna uhakika nao? 26 - 30 ndiyo una maana gani???habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe wa kuweka starehe mbele.umri wake 19 -25 sichagui kabila wala elimu.plc niko serouse.aliyoko tayari anaweza kuni pm.au kutumia email.
Saidi49@ymail.com
Mkuu utapata mke kweli wakati hata umri wako huna uhakika nao? 26 - 30 ndiyo una maana gani???
Inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye.
CV yako haijakamilika Said, unafanya kazi gani. Ningekupm lakini umri umekimbia
CV yako haijakamilika Said, unafanya kazi gani. Ningekupm lakini umri umekimbia
Umeshajenga? unagari? una savings account? unapenda kwenda nje ya nchi holiday?