Natafuta Mke

Natafuta Mke

Mke hatafutwi huletwa na Mungu maishani na Muda ukifika huondolewa na Mungu mwenyewe na kuletewa mwingine au mitara !!

Kutafuta make humu ni kubet tu!huyo ulie nae kitaa unapoza poza ndio huyo huyo!usitarajie makubwa coz ke wote wanafanana"WOTE WANATARAJIA KUPOKEA MATUNZO ILI WATOE PENZI AU UKE WAO" Wanatofautiana maumbile tu lakini fikra na akili ndio hiyo hapo!
 
Ukiwa umelala zako usiku halafu usikie kaka yako anamwambia mke wake; Babe naweza kuua hii familia nzima kwaajili yako
FB_IMG_17345520731929856.jpg
 
Back
Top Bottom