Natafuta mke

Natafuta mke

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Salam! natafuta mke wa kuoa, awe mnene,hata akiwa na mtoto mmoja sio mbaya, umri usipungue miaka 30 kwenda juu ,mkristu, mimi nina miaka 36 kwa sasa, nina mtoto mmoja wa kiume, nafanya kazi Arusha. Please only Serious ladies kama unaleta utani tafadhali usiwasilaine nami.
 
duh, bonge la offer kwa akina dada ambao umri tayari umesonga
 
Wadada wabonge hatimaye tumepata dili la ukweli... !
 
Hujaona tu Wambulu ktk mitaa ya arusha.............. pepesa pepesa macho!
 
Jamiiforums zaidi ya uijuavyo huyu ana majina mangapi huku?mwenye macho haambiwi tazama
 
wote mliochangia humu nawapa like...zaidi namuombea huyu mkuu afanikiwe ombi lake fasta maana naona yuko siriaz kweli! Mungu akisaidie Inshaallah!
 
Jamani mkishafanikiwa mrudi humu kutoa ushuhuda na sio mnapotea juu kwa ju
 
Kwa hiyo hapo hakuna ma-process ya U-g/f na b/f ,uchumba n.k..........mwendo mdundo kwenye ndoa!!

mdogo wangu mpenzi kwani hujamuelewa wewe? alisha fanya hayo zamani so hapa anataka wa kuingia kwenye liwazo tu.
 
Back
Top Bottom