Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
- uzoefu wa masuala ya ndoa usiopungua miaka saba
-awe alishawahi kuolewa na kuachika kwa wanaume wasiopungua walau wawili,
-aoneshe walau ma refarii wawili wanaoweza kutoa habari zake kikamilifu;mmoja lazima awe ni mume wake wa mwisho.
maeneo gani mkuu.hebu nielekeze kabisa.wana certificate of competence au perticipation?mi naona bora uende mwananyamala, kule hata cetificate wanazo.