Natafuta mke

Natafuta mke

sagamawe

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
36
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
awe atatoka singida
elimu kiwango cha chini degree
awe mweupe
awe mcheshi
mrefu kama cm 166
awe na umri usiopungua 22 na usizidi 35
maelezo mengine atapata

Umri wangu ni miaka 47 na ni mhasibu
kwa yule ambaye amemaanisha aniachie mawasiliano nitamtafuta
aksante
 
Sometimes am confused, oh no I confuse me. pamoja na hayo Lakini bado naendelea kujifunza Mke ni nani.
 
Taja mali ulizonazo nz utajiri unaomiliki hutapata mke kwakkutoa za kwako
1.una kabati ya baridi
2.una visa tembo master card
3.kabati ya picha
4.nyumba nzuri
5.elimu yako wewe
6.kabila lako wewe
7.mali zisizohamishika
8.akaunt za benki na amana iliyopo huko isiwe chini ya 3m
9.una uhakika wakutokupungukiwa pungukiwa?
Kama hujakidhi vigezo hivi nenda kijijini kwenu ukatafute mke.wanaojua key board hivo ndio mpango mzima.
 
Sifa zote ninazo lakini bahati mbaya natoka Msoga na siyo Singida. Good luck
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
awe atatoka singida
elimu kiwango cha chini degree
awe mweupe
awe mcheshi
mrefu kama cm 166
awe na umri usiopungua 22 na usizidi 35
maelezo mengine atapata

Umri wangu ni miaka 47 na ni mhasibu
kwa yule ambaye amemaanisha aniachie mawasiliano nitamtafuta
aksante

Wewe hutafuti mke ila unatafuta mwanamke atakayekuburuza uishi kwa kero hadi unaingiza mvi zako kaburini; maana umri uliobaki nao ni miaka 23. Kwa nini usifikirie kuishi kwa raha? ZINDUKA!
 
Napata picha ukipata binti wa miaka 22 nawe una 47..!

Tafuta wa kuanzia 35 mpaka 40 walau.. Hao wengine waache wahangaike na vijana wenzao..!
 
Back
Top Bottom