japhet nkwabi
Member
- Mar 8, 2013
- 91
- 15
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
ukimtaka anayejua maisha ni nini hutampata kaka,wa humu wote wanajua kuwa "MAISHA NI SAFARI NDEFU"
Kama upo dsm,nenda pale kona bar mida ya usiku utawapata hao wanaoijua tafsiri halisi ya neno maisha.
Hata mimi wangu nilimpatia pale.Huyu anajua maana ya maisha,ni mtafutaji kwa kweli,saiz tumenunua landcruiser vx(amazon)
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
Jamani jamani
jamani,sasa tuyaite masikhara au nini sasa? wewe unajuaje kama watu wa
humu hawajui nini maana ya maisha? au wewe unawajua watu wote wa humu
ndani? watu wengine kwa nini hamkai kimya? mkapita tu? wakati mwingine
utani ukae kando kuna wengine wako serious hapa kha! mke aweza patikana
kokote lakini si kwa majibu kama hayo ya kukatisha wenzenu
tamaa!
Huyu haonekani anatafuta mchumba kweli.Sijui una undugu na Misoji Nkwabi?
BTW, chakarika kaka utampata unayemhitaji But be careful.
Huyu haonekani anatafuta mchumba kweli.
Mvona hajatoa sifa zake wala za mtarajiwa?
angekuwa haleti hayo masihara mke angemtafutia hapa?kwani wewe huyo mume/hawara yako ulimtafutia hapa?
Kuna kipindi cha Bango kipo tbc1,apeleke tangazo lake.
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
mdogo she is very pretty na anahela balaaa je atakufaa?