Natafuta mke

Natafuta mke

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
15
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
 
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane

ukimtaka anayejua maisha ni nini hutampata kaka,wa humu wote wanajua kuwa "MAISHA NI SAFARI NDEFU"
Kama upo dsm,nenda pale kona bar mida ya usiku utawapata hao wanaoijua tafsiri halisi ya neno maisha.
Hata mimi wangu nilimpatia pale.Huyu anajua maana ya maisha,ni mtafutaji kwa kweli,saiz tumenunua landcruiser vx(amazon)
 
Jamani jamani jamani,sasa tuyaite masikhara au nini sasa? wewe unajuaje kama watu wa humu hawajui nini maana ya maisha? au wewe unawajua watu wote wa humu ndani? watu wengine kwa nini hamkai kimya? mkapita tu? wakati mwingine utani ukae kando kuna wengine wako serious hapa kha! mke aweza patikana kokote lakini si kwa majibu kama hayo ya kukatisha wenzenu tamaa!
 
Jamani jamani
jamani,sasa tuyaite masikhara au nini sasa? wewe unajuaje kama watu wa
humu hawajui nini maana ya maisha? au wewe unawajua watu wote wa humu
ndani? watu wengine kwa nini hamkai kimya? mkapita tu? wakati mwingine
utani ukae kando kuna wengine wako serious hapa kha! mke aweza patikana
kokote lakini si kwa majibu kama hayo ya kukatisha wenzenu
tamaa!

angekuwa haleti hayo masihara mke angemtafutia hapa?kwani wewe huyo mume/hawara yako ulimtafutia hapa?
Kuna kipindi cha Bango kipo tbc1,apeleke tangazo lake.
 
Sijui una undugu na Misoji Nkwabi?

BTW, chakarika kaka utampata unayemhitaji But be careful.
Huyu haonekani anatafuta mchumba kweli.
Mvona hajatoa sifa zake wala za mtarajiwa?
 
Huyu haonekani anatafuta mchumba kweli.
Mvona hajatoa sifa zake wala za mtarajiwa?

mwali naona yeye sifa pekee aliyonayo ni umri 26
na mchumba ajue nini maisha......
sasa definition za MAISHA zikija kutofautiana sijui itakuaje
 
angekuwa haleti hayo masihara mke angemtafutia hapa?kwani wewe huyo mume/hawara yako ulimtafutia hapa?
Kuna kipindi cha Bango kipo tbc1,apeleke tangazo lake.

kumbe kule Tbc kwenye bango unaeza peleka tangazo la kutafta mwenza .....?
ila hata asipoteze mda kuenda kule bora aendelee kusubiri hapa hapa JF labda anaeza kupata mke...
 
Back
Top Bottom