Natafuta mke

Natafuta mke

Gendi

Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
34
Reaction score
2
Waungwana mi ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 32,nina kaz inayonipa kipato cha kawaida tu,nipo sirious kwa alie tayari basi ani pm then tujue la kufanya,karibun sana.
 
haya wakina dada mnalalamika hakuna wachumba,nafasi hiyo iko wazi.kila kheri kaka katika zoezi hili,sio mchezo kama unavyofikiria kupata mke mwema!
 
kweli ni kazi kaka ila nimechoka na maisha ya upweke na umri unaenda
 
Tupia CV yako includes the following:-
1. Bank statement
2. Valuable assets

Thank you in advance

CL
 
Tupia CV yako includes the following:-
1. Bank statement
2. Valuable assets

Thank you in advance

CL

acount sina,sina asset yoyote zaidi ya moyo wa kupenda na huruma,assets nk ni vya kupita na tutaviacha ila moyo wa upendo na penzi la kweli nitakufa nalo
 
acount sina,sina asset yoyote zaidi ya moyo wa kupenda na huruma,assets nk ni vya kupita na tutaviacha ila moyo wa upendo na penzi la kweli nitakufa nalo

Sasa moyo si ni wako... mi nataka hivyo ninavyokwambia viwe vyangu!
 
acount sina,sina asset yoyote zaidi ya moyo wa kupenda na huruma,assets nk ni vya kupita na tutaviacha ila moyo wa upendo na penzi la kweli nitakufa nalo

Tehe tehe tehe....
Sio dunia ya sasa mkuu.
Miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..... arobaini na kweusi ndo ilikua applicable.
Ila kwa sasa hesabu maumivu. Ukileta hizi nyimbo kwa lara 1 na kina madame b na wenzie inakula kwako.
Tehe etehe etehee
 
Last edited by a moderator:
Ukishuka uzi wa tatu kama sio wa nne kuna mwenzio anatafuta mume hebu mcheki naona kama mnatafutana vile!!!
 
Back
Top Bottom