Natafuta mkopo benki kwa wafanyakazi

Natafuta mkopo benki kwa wafanyakazi

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Habari wana JF,
Binafsi natafuta mkopo toka Benki ambayo inaweza kunikopesha, nilipe kupitia mshahara wangu Mshahara wangu ni zaidi ya millioni 1.5 na ofisi yetu ina wafanyakazi watano.

Nimeenda baadhi ya Benki wanasema masharti ni mpaka taasisi iwe na wafanyakazi zaidi ya kumi. Je ni benki gani inaweza kukopesha mtu binafsi mwenye mshahara wake kama huo.

Natanguliza shukrani
 
kama una biashara yoyote ndogo ndogo au ndugu yako ana tujibiashara, basi piga picha ukiwa apo kwa hizo biashara as kwamba unaifanya wewe,ikiwa na leseni itakuwa ni nzuri zaidi,peleka na salary slip ya miezi 2,kitambulisho chako(kopi),barua ya selikali ya mtaa,security ya huo mkopo,(hati ya kiwanja,hati ya gari,hati ya nyumba,au hati ya mali yoyote ),picha zako (p/port size 2),kama umeoa (nenda na cheti cha ndoa -copy yake) ..huyo mkeo ndo atakuwa mdhamini wako, kama hujaoa basi tafuta mdhamini anayeeleweka,akuandikie barua na salary slip zake,copy za ID zake na mchoro wa wapi hiyo biashara unahifanyia ukitokea barabara kuu,,then peleka pale AKIBA COMMERCIAL BANK....mengineyo yatafuata
 
Back
Top Bottom