Natafuta mkopo wa kukununua Noah au Hiace

Natafuta mkopo wa kukununua Noah au Hiace

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
719
Reaction score
274
Mimi ni mtumishi wa serikali nilie ajiliwa chini ya TAMISEMI
Natafuta kampuni au mfanyabiashara yoyote anaeweza kunipa mkopo wa gari aina ya noah au hiace kwa mkataba wa kumlipa pole pole kutoka kwenye mshahara wangu. Kwa yeyote anae jua uwepo wa kampuni kama hiyo tafadhali nijulishe kupitia 0753868912
 
Mienaju serikalini kuna mikopo ila sema midogo midogo.
Halafu lazima ujitambue kwamba Target yako ni Ipikatika kiwango cha mkopo.
Maana bei ya Noah na Hiace kama unavyoita zinategemea na matumizi yake.Maana kuna zile Dungu na hizi za kawaida kama tulivyozoea.
Lengo lako la mkopo wa gari pia ni nini.biashara au kulia bata.
 
Yeye ni mtumishi wa serikali,anakatwa moja kwa moja,hvy swala la kulipa kwake halina tatizo
 
Ni ushauri tu, kopa hela nunua gari


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Sio kulia bata kaka noah au hiace ya biashara. kwa sababu hapa kikijijini nilipo usafiri ni tabu kweli kweli. kuna jamaa mmoja anae miliki hiace inayo safirisha watu kwenda wilayani anaonekana kama Mungu mtu. usipo msalimia shikamoo gari yake hupandi ingawa unalipa nauli
 
Nilihitaji mkopo kwa ajili ya kufanyia shughuli hiyo ya kusafirishia watu hata kama tunaweka mkataba wa kulipa laki tano kila mwezi mpaka deni linapo isha
 
Chukua mkopo bank then ingia kwenye website ununue gari au uende kwenye yard za Dar ukaulizie bei kwanza ili ujue inagharimu kiasi gani ma je utamudu, ndio sasa ufikirie kununua hilo gari au vipi.
 
Nilihitaji mkopo kwa ajili ya kufanyia shughuli hiyo ya kusafirishia watu hata kama tunaweka mkataba wa kulipa laki tano kila mwezi mpaka deni linapo isha


kakope NMB mil 15 then ukanunue
 
kwa mkopo wa fedha ya kununulia gali na wap ununue wasiliana na huyu 0767589301
 
Back
Top Bottom