Natafuta mkopo wa million 7 na nusu- kurudisha mil 8 ndani ya mwezi mmoja

Natafuta mkopo wa million 7 na nusu- kurudisha mil 8 ndani ya mwezi mmoja

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza shukrani.....

Mbarikiwe
 
Natafuta fedha
millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja.
Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua
ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza shukrani.....

Mbarikiwe

Ni gari gani na la mwaka gani?
 
Toyota rav 4, ya mwaka 1994 lakini pia waweza fika ofisini kwangu,na nyumbani kwangu
 
me nafanya hyo biashara ya kukopesha ila mpaka nitoe lazima nijirizishe na hyo gari kama haijwahi chukuliwa mkopo mahala popote,pia kadi na gari vikae ofisin kwangu, mana unaweza kaa nayo ikapata tatizo isiweze kuwa na thamani ya awali, lakini pia nahitaji kuiona physical so if u ready nicheki niione gari then tutafute mwanasheria tukaandikishiane
 
Uko wapi ? Weka taarifa zote muhimu tufanye biashara.
 
Uko wapi ? Weka taarifa zote muhimu tufanye biashara.

Ndo maana kuna msemo unaosema "usilalamike kuwa maisha magumu , kama ni magumu basi ni kwako tu", we unaona mdau ka request Milioni kadhaa dakika 0 ashapata wadau kibao cha msingi awe na vigezo stahiki tu. ama kweli shikamoo pesa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom