Samahani Mkuu,
Ila tambua kwamba wakopaji wengu huwa hatupendi kufuata taratibu za kibenk na wengi hatuna subira na badala ya kuwa wakopaji tunakuwa wadaiaji,maana unaenda kukopa na unalazimisha upewe mkopo haraka kama pesa zako.
Na muonekano wangu kwako ni kwamba unaharaka sana.
Unaposema NMB kuna jam,we unafirikia wapi hakuna hiyo Jam.
Kama umetimiza vigezo vyote ikiwemo biashara inayoendelea na yenye kuzalisha vizuri na dhamana,lazima utapewa muda wa ombi lako kushughulikiwa.
Huwezi kwenda leo wiki ijayo ukategemea kupata pesa kirahisi namna hiyo,utaratibu wa sehem husika lazima uheshimiwa.Sasa kama unaona NMB unacheleweshwa basi jua kwamba hakuna sehem nyepesi nyingine,na kwa taarifa yako tu ni kwamba NMB wapo vizuri kiasi kama umetimiza vigezo .Hofu yangu tu ni kwamba uharaka wako ndio unawalakin.
Halafu suala la Miaka 2 kuwa unadaiwa 10m ni majanga pia.
Ushauri:
Kopa Bank kwa usalama wako
Na ukikopa kwamtu binafsi kama una dhamana ya nyumba basi jiandae kulala nje,maana hapo ndio utakapolizwa vizuri