Natafuta mkopo

ester mongi

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Wapendwa natafuta mkopo wa ata wa vikundi kuanzia laki 3 kuendelea ad laki saba
 
Wapendwa natafuta mkopo wa ata wa vikundi kuanzia laki 3 kuendelea ad laki saba
Tafuta watu 10 muwe kundi moja,na pia muwe na dhamana isiyoamishika yenye thamani zaidi ya laki 6(prefered Ardhi na si Subwoofer au TV,Kama hauna Ardhi tafuta wadhamini wenye Ardhi) kama unachukua laki 3(Thamani mara mbili ya mkopo),Mkiwa tayari na vigezo vyote nitawapa milioni 3,Nipo Arusha Minjingu nachoma Mkaa,Wawakilishi wangu wapo kila sehemu.
 
Sisi tupo wa tano pia dhamana zetu ni vitu vya ndani pia tunarejesha ndani ya muda gani
 
Ok tukishapata tutakupataje ss tupo dar yupo mwenye shamba heka saba uko mkata
 
Ok tukishapata tutakupataje ss tupo dar yupo mwenye shamba heka saba uko mkata
Eneo inabidi liwe DSM kwa Easy Supervision....Nitatuma Mwanasheria wangu aje kuona aki-aprove na kuandikishiana mikataba,For Any Issue Just PM.
 
Kuna kampuni inaitwa "TUNAKOPESHA LTD" ipo karibia nchi nzima unaweza ukawatafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…