ester mongi
Member
- Aug 14, 2015
- 26
- 6
Wapendwa natafuta mkopo wa ata wa vikundi kuanzia laki 3 kuendelea ad laki saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta watu 10 muwe kundi moja,na pia muwe na dhamana isiyoamishika yenye thamani zaidi ya laki 6(prefered Ardhi na si Subwoofer au TV,Kama hauna Ardhi tafuta wadhamini wenye Ardhi) kama unachukua laki 3(Thamani mara mbili ya mkopo),Mkiwa tayari na vigezo vyote nitawapa milioni 3,Nipo Arusha Minjingu nachoma Mkaa,Wawakilishi wangu wapo kila sehemu.Wapendwa natafuta mkopo wa ata wa vikundi kuanzia laki 3 kuendelea ad laki saba
Sisi tupo wa tano pia dhamana zetu ni vitu vya ndani pia tunarejesha ndani ya muda ganiTafuta watu 10 muwe kundi moja,na pia muwe na dhamana isiyoamishika yenye thamani zaidi ya laki 6(prefered Ardhi na si Subwoofer au TV,Kama hauna Ardhi tafuta wadhamini wenye Ardhi) kama unachukua laki 3(Thamani mara mbili ya mkopo),Mkiwa tayari na vigezo vyote nitawapa milioni 3,Nipo Arusha Minjingu nachoma Mkaa,Wawakilishi wangu wapo kila sehemu.
Na hiyo milion 3 tunatakiwa tulipe riba ya shiling ngapSisi tupo wa tano pia dhamana zetu ni vitu vya ndani pia tunarejesha ndani ya muda gani
Tafuteni Dhamana ya Ardhi Yenye Thamani ya Zaidi ya Milioni 8,Mtapata mkopo wa milioni 3,Marejesho ndani ya miezi 6 kwa mgawanyo wa kila member anarejesha laki 2 kwa mwezi.Sisi tupo wa tano
Eneo inabidi liwe DSM kwa Easy Supervision....Nitatuma Mwanasheria wangu aje kuona aki-aprove na kuandikishiana mikataba,For Any Issue Just PM.Ok tukishapata tutakupataje ss tupo dar yupo mwenye shamba heka saba uko mkata
OkKuna kampuni inaitwa "TUNAKOPESHA LTD" ipo karibia nchi nzima unaweza ukawatafuta.