utapataje mkopo kirahisi hivyo kaka sema utaweka nini kama dhamana au tafuta mtu mmoja akudhamini nicheki pm tuone km vp
Nafikiria ni kitugani niweke kamadhamana bado sijagundua kwa sababu ndio kwanza naingia mtaa kutafuta maisha...jamani jaribu kufikiria ni dhamana gani ukiacha hizo juu zitakuwa nakidhi.....nahitaji kufanya kitu nashindwa kuendelea.
Inauma sana
ni PM nikuelekeze maujanja,i used to be in the banking sector for the years !
Habari JF.
Sina nyumba,sina gari wala kiwanja, wapendwa wapi nitapata mkopo wa laki tano usio na dhamana hizo hapo juu,
Lengo la mkopo
Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kochi sasa nina shida ya kupata ofisi ili niwezekuweka bidhaa zangu yaani showroom.
Sijui unaishi wapi lakini tegeta nyuki kuna saccos ina mashart nafuu. Unaingia uanachama kws kulipa elfu ishirini unanunua hisa mbili halafu unaweka akiba ya laki moja na sabini ili uweze kupata mkopo wa laki tano ambao utaurudisha ndani ya miezi sit kwa kulipa riba elfu kumi kila mwezi. Dhamana ni hiyo akiba pamoja na vitu vya nyumbani kwako kama kochi kitanda au tv. Inaitw kawe community saccos. Ndani ya wiki kama umejipanga vizuri unapata mkopo wako.