Natafuta mkopo

Natafuta mkopo

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
39
Habari JF.

Sina nyumba,sina gari wala kiwanja, wapendwa wapi nitapata mkopo wa laki tano usio na dhamana hizo hapo juu,

Lengo la mkopo
Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kochi sasa nina shida ya kupata ofisi ili niwezekuweka bidhaa zangu yaani showroom.
 
utapataje mkopo kirahisi hivyo kaka sema utaweka nini kama dhamana au tafuta mtu mmoja akudhamini nicheki pm tuone km vp
 
Nafikiria ni kitugani niweke kamadhamana bado sijagundua kwa sababu ndio kwanza naingia mtaa kutafuta maisha...jamani jaribu kufikiria ni dhamana gani ukiacha hizo juu zitakuwa nakidhi.....nahitaji kufanya kitu nashindwa kuendelea.
Inauma sana
 
ni PM nikuelekeze maujanja,i used to be in the banking sector for the years !
 
Ndugu Makua, Mkopo unaohitaji ni mkopo mdogo ambao taasisi nyingi za fedha wanatoa kwa kutumia mali zilizopo kwenye biashara na vitu vya ndani. Tembelea Akiba au Access watakusaidia
 
Habari JF.

Sina nyumba,sina gari wala kiwanja, wapendwa wapi nitapata mkopo wa laki tano usio na dhamana hizo hapo juu,

Lengo la mkopo
Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kochi sasa nina shida ya kupata ofisi ili niwezekuweka bidhaa zangu yaani showroom.

Nakushauri nenda advans bank .... wapo manzese darajani ... hawana usumbufu wapo vizuri sana
 
Ushauri nimeufurahia na wale waloniamuru niwafate pm nao nimewafata....
Nashukuru sana kwa michango mawazo.
 
Sijui unaishi wapi lakini tegeta nyuki kuna saccos ina mashart nafuu. Unaingia uanachama kws kulipa elfu ishirini unanunua hisa mbili halafu unaweka akiba ya laki moja na sabini ili uweze kupata mkopo wa laki tano ambao utaurudisha ndani ya miezi sit kwa kulipa riba elfu kumi kila mwezi. Dhamana ni hiyo akiba pamoja na vitu vya nyumbani kwako kama kochi kitanda au tv. Inaitw kawe community saccos. Ndani ya wiki kama umejipanga vizuri unapata mkopo wako.
 
Ahsante...
Mi nipo magomeni-kagera dar es salaam
Nitatembelea huko
 
Back
Top Bottom