Natafuta Mkufunzi wa kunifundisha kutengeza sabuni za maji

Natafuta Mkufunzi wa kunifundisha kutengeza sabuni za maji

Yule girl

Member
Joined
Oct 5, 2020
Posts
25
Reaction score
40
Habarini,

Samahihi natafuta mtu binafsi wa kunifundisha kutengeneza sabuni za maji aina zote Shampoo's na vitu kama hivyo Gharama za ukufunzi tutaelewa.
 
Habarini
Samahihi natafuta mtu binafsi wa kunifundisha kutengeneza sabuni za maji aina zote Shampoo's na vitu kama hivo Gharama za ukufunzi tutaelewa.
sabuni za maji kila mtaa ndugu wapo watengenezaji. ukihitaji kujifunza sabuni za mche (herbal), lotion,mafuta mgando ,steaming n.k ,wasiliana nami kwa 0713 039 875
 
Habari wana JF
Mbele yenu hapa ni vijana wajasiriamali wa CONTINENTAL GROUP...
Tunawaletea bidhaa bora kabisa ya sabuni ya maji
Ina harufu mbili (lemon & rose)
Inapatikana katika ujazo wa 250mls
Bei:Jumla 1dozen =20,000 (more than 6 dozen)
24000 kwa 1dozen (less than 6 dozen)
:Tunapatikana IYUNGA-MBEYA
0673493200 / 0763752315
Au tucheki kupitia
Email continentalhq707@gmail.com
whatsapp👇🏻👇🏻
Pia tunatoa Mafunzo ONLINE/PHYSICALL
Karibuni sana na Ahsanteni sana.
 

Attachments

  • IMG_20240818_163405.jpg
    IMG_20240818_163405.jpg
    2 MB · Views: 2
  • IMG_20240818_163344.jpg
    IMG_20240818_163344.jpg
    2.4 MB · Views: 4
  • IMG_20240815_140256.jpg
    IMG_20240815_140256.jpg
    1.9 MB · Views: 3
  • IMG_20240818_135011.jpg
    IMG_20240818_135011.jpg
    2.3 MB · Views: 3
Back
Top Bottom