Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,018
Reaction score
4,369
Hello Habari!
Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE).

Please naomba unicheki.
 
Hello Habari!
Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE).

Please naomba unicheki.
Unaweza post mti wake!!?
 
Unaweza post mti wake!!?
1680602150874.jpg
 
Zinahitajika tani 7 mkuu! Ndo nilipenda kupata muda gani zinakua tayari na bei yake kwa Kg toka kwa mkulima.
Nipe bei kwa kil na muda nikulimue kuanzi mwezi May.
1. Utapima zinapovunwa au mpaka zikauke?
2. Unihakikishie kuwa utazinunua zote maana nalima kwa ajili yako tu
3. Kama una mbegu zako au uniambie aina gani unahitaji.

Pilipili jichaa nazo zinatofautiana. Kuna ndondogo sana na kuna kubwa kiasi.
Asante
 
Zinahitajika tani 7 mkuu! Ndo nilipenda kupata muda gani zinakua tayari na bei yake kwa Kg toka kwa mkulima.
Zina anza kuzaa miezi mitatu (3 months) tangu kumwaga kwenye kitalu.
Waone hao jamaa hapo chini wana mtandao wa wakulima wa ABE chilli, pia wananunua na kuuza, wanatoa mafunzo na farm management kwa wakulima wa hizo pilipili ABE chilli.
Contact Info. +255 769 058 814 ,+255 754 265 873. B & N House of Apartments Mabibo, Dar Es Salaam, Tanzania.
 
Back
Top Bottom