Dabby Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 324
- 260
Umri wangu mbona unachelewa kwenda mbele,Daaaaah umri kwangu ni janga la taifaNi mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!