natafuta mme aliye serious

natafuta mme aliye serious

habari zenu wana jf,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane

nenda face book humu hutapata am sure, kwanza humu wengi id zao sio halisi tofauti na facebook, alafu face book watu wanaweka hadi picha halisi, ila ukubali kuliwa kwanza then utapata momoja atakolea ataowa
 
kila lakheri dadangu,
hapa ndio kwenyewe utapata.
usikatishwe tamaaa na hao wanao-joke!

habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane
 
32 - 40 wengi washaoa, waliobaki baki vimeo
Hujui hilo??? Nena kanisani kwenu, hukosi mwanakwaya

Mbona mi nina umri huo, Sijaoa na wala sio Kimeo?
Muache atafute tu, atatupata tu one day!!
 
Mwanamke ,,miaka 30 hajaolewa? Duh, chuoni ulipokuwa unasoma hukupata,mmh bhasi wewe ulikuwa ni waajabu sana
 
Umepata mama,tutawasiliana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
all the best mwaya utampata kama umeandikiwa ya kuwa wa kwako yuko humu,wengine wamepata humu humu usikate tamaa.
 
Naona umeshavurugwa wewe:

Mwanaume aliye serious hawezi kuoa mwanamke anayejinadi mitandaoni.

Ukiona wanaume hawakukuona unakoishi, unakosali, unakofanya kazi na hata unakopita basi ujue kuna tatizo kwa upande wako. Jambo la pili, unaweka vigezo vya degree as if unatafuta mfanyakazi.

Maisha ya ndoa hayaongozwi na degree na ndio maana at the age of 30 hujaolewa pamoja na kuwa na degree ilhali wenye cheti cha STD 7 wana waume na watoto. Yaelekea umezoea kutoa matangazo ya kazi sasa umesahau kuwa unayetafuta ni mume. Vigezo vya mume ni hivi:

1. Awe dini fulani
2. Awe mrefu wa kimo fulani
3. Awe na rangi fulani
4. Awe na tabia fulani (kwa mfano mlevi)
5. Awe na mpododo wa inchi kadhaa (mfn 12", 16" au labda unapenda 3" kama yangu)
6. Awe bishoo au sharobaro n.k

sasa wewe umekimbilia kwenye elimu. Nakukumbusha kuwa wewe tafuta mume achana na degree. Na ukumbuke unayemtafuta ni mburula mwenzio na sio mtu serious sababu mtu seriou hawezi kuchukua bidhaa iliyosuswa mtaani kwao sababu ya GHUBU
 
kila lakheri dadangu,
hapa ndio kwenyewe utapata.
usikatishwe tamaaa na hao wanao-joke!

Wewe ndio unaleta jokes hapa. Hivi kweli mwanaume serious anaweza kuchukua left overs mitandaoni. Fikiri vyema ni matangazo yepi yamejazana mitandaoni ya TOYOTA Tanzania au kina Autorek, Trade Car View na wengineo wanaouza second hand?

Used hiyo au ina ghubu
 
habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane
Poa tutawasiliana.
 
Duu jamani mwenzenu yuko serious mbona mwampa vijembe.hastahil majibu hayo pls
 
Back
Top Bottom