Natafuta mme wa kunioa

Post za Facebook hatutaki humu hizo kabandik huko kwa watot wenzak hum watuwazim bhn
 
mnaosema asubiri kidogo mwanae akue,siafiki na nyie ,mtoto anahitaji malezi ya baba na mama,so akimpata na kuishi wote mapema ndivyo watakavyojenga bond pamoja,wengi mnadhania labda anatafuta mtu wa kumsaidia kiuchumi,naamini kuna wanaume kibao wako tayari kusaidia familia zao bila hiyana nadhani ndio anatafuta mtu kama huyu.............
 
tena kwenye umri wake kuamua kuwa na mtoto ni jambo la kishujaa,maana wasichana wa siku hizi huo umri ndio wa kutoa mimba.....
 
We mdada unaonekana una Busara sana, big up kwako
 
Huyu mdada msimu.underrate! Atakuwa mkali sana!
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Karibu kwangu. Mimi pia nina mke na ameniambia nitafute mke mwingine ili muwe wawili.
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Una churaaa???
 
pole sana jamani!
 
Tapeli wa mapenzi wewe, wanaume wa kuoa hawatafutwi kwa mtindo huo, utakae mpata atakuja kupasha na baadae hutamwona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…