Natafuta mme wa kunioa

Natafuta mme wa kunioa

mnaosema asubiri kidogo mwanae akue,siafiki na nyie ,mtoto anahitaji malezi ya baba na mama,so akimpata na kuishi wote mapema ndivyo watakavyojenga bond pamoja,wengi mnadhania labda anatafuta mtu wa kumsaidia kiuchumi,naamini kuna wanaume kibao wako tayari kusaidia familia zao bila hiyana nadhani ndio anatafuta mtu kama huyu.............
 
Sio bwana
Watu wengi mnakariri
Kuzaa ni majaliwa
Wapo wengi waliotoa mimba zaidi ya 5 Yaani mama marehemu.Ni naonaga mdada anayezaa anajitambua Mana kwanza anajiwekea legacy mbele
Mtoto anafariji mtoto ni Kinga ya mbele kuliko wanaotoa mimba .Halafu Na wewe unakuja kujidanganya kwamba nimeoa asiyena mtoto
Anayezaa ni.bora.Kwanza hana dhambi ya kuua kiumbe cha Mungu .

tena kwenye umri wake kuamua kuwa na mtoto ni jambo la kishujaa,maana wasichana wa siku hizi huo umri ndio wa kutoa mimba.....
 
mnaosema asubiri kidogo mwanae akue,siafiki na nyie ,mtoto anahitaji malezi ya baba na mama,so akimpata na kuishi wote mapema ndivyo watakavyojenga bond pamoja,wengi mnadhania labda anatafuta mtu wa kumsaidia kiuchumi,naamini kuna wanaume kibao wako tayari kusaidia familia zao bila hiyana nadhani ndio anatafuta mtu kama huyu.............
We mdada unaonekana una Busara sana, big up kwako
 
Huyu mdada msimu.underrate! Atakuwa mkali sana!
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Karibu kwangu. Mimi pia nina mke na ameniambia nitafute mke mwingine ili muwe wawili.
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Una churaaa???
 
pole sana jamani!
 
Tapeli wa mapenzi wewe, wanaume wa kuoa hawatafutwi kwa mtindo huo, utakae mpata atakuja kupasha na baadae hutamwona.
 
Back
Top Bottom