Natafuta mme wa kunioa

Natafuta mme wa kunioa

Mdogo angu,kama ungeachana kwanza na mambo ya kuolewa hivi,japo ni mambo yako binafsi na ni maamuzi yako,naona unge-focus kumkuza mwanao kwanza akitengemaa ndio mengine yafuate.....

Huyu hajatufahamu vizuri sisi wanaume. Tayari watu wameshaanza kuchangamkia fursa humu, huu ushauri wako sidhani kama atauelewa! [emoji1]
 
4cc96f113e6de6868da6f5a7a13b5bf7.jpg
hivi leo tarehe ngapi?[emoji41]
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Umeanza mapenzi ukiwa na umri gani?tuanzie hapo halafu ujue kabisa umeachwa kwa sababu una kasoro.hakuna anayependa matatizo.ushauri wa bure we lea tu mtoto huyo ama jifanye kama umezawadiwa mtoto.kasoro zako baki nazo mwenyewe.
 
Umeongea vizuri sana Mkuu vinginevyo atapata mimba nyingine na njemba kuingia mitini.

Mlee kwanza mtoto akue japo afikishe miaka miwili halafu ndio uanze kutafuta mume wa kukuoa.

Wakati huo natafuta mume jitahidi ujishughulishe na kazi yoyote ili uweze kupata cha kukizi mahitaji ya kila siku
 
Watafutaji wengi humu mnazingua tangu nimeanza kuwafata pm hakuna hata mmoja ambaye amewahi kueleweka hivi mnataka wanaume wa namna gani kwamfano
 
Back
Top Bottom