Natafuta mme wa mtu.

Natafuta mme wa mtu.

Status
Not open for further replies.
Mkuu vipi hatikipata update za dada wa NMB

mkuu bado unamkumbuka?tuliamua kujitoa ufahamu,mimi,wife,mama mwenye nyumba na wapangaji wengine wawili,alipoanza tu kupiga mayowe yake hayo tukamgongea dirisha na mlango,alinyamaza kwa muda kisha akafungua,tulimwambia kuwa hata sisi huwa tunaduu lakini sio iwe kero kwa wengine.hatuhutaji kelele za aina hiyo.ni kama wiki na nusu sasa sijamuona tena hata yule mshikaji wake,labda huwa wanaduu sehemu nyingine.ila heshima imekuwepo
 
Ila kimoyo moyo unamiss makelele yake, maana ni kama chabo ya masikio, sema tu waifu akiwa around inazingua.
 
Kupunguza stress labda alimaanisha wakasome Biblia pamoja, nakupongeza dada na mkimaliza kusoma biblia mpelekee mmeo hayo mafungu ili akupende zaidi......whether you're a husband or a wife, this secret of happiness is still the same. Marital and sexual fulfillment is the byproduct of focused love. Enyi waume wapendeni wake zenu.....pia inasema enyi wake watiini waume zenu. Kila lakheri
 
Ngoja ukutane na mmeo humu. Unajua atakayeku-pm ni nani? Utashangaa na roho yako siku utakayofanya appointment ya kukutana na huyo mme wa mtu halafu unajikuta unakutana na mmeo. Utalia na kusaga meno!

watu wanaexperience zao....na hawaendi kiholela. Unamla chabo few meters kabla hujaonana nae huku uko nae hewani. Hii pia inasaidia kama hana mvuto au haeleweki unasepa kabisa hujibu hata simu zake....lol...mjini shule
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom