ninavigezo vyote ila moyo mgumu sina baba watoto wako atakua anamega kisela,Naomba unihakikishie kua jamaaa hatakua karibu na wewe in any way then PM meHabari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
Usitegemee kupata ukweli kabla ya hujamwoa. Mwoe baada ya mda baba toto nae ata PM, hakuna anaemwachaga mzazi mwenzie mia kwa mia. Huyo toto ndo kiunganishi chaoninavigezo vyote ila moyo mgumu sina baba watoto wako atakua anamega kisela,Naomba unihakikishie kua jamaaa hatakua karibu na wewe in any way then PM me
mkuu unanikatisha tamaa mkuu anaweza kua Mwanamke mwema huyu hebu ngoja tumsikilize ClanzyUsitegemee kupata ukweli kabla ya hujamwoa. Mwoe baada ya mda baba toto nae ata PM, hakuna anaemwachaga mzazi mwenzie mia kwa mia. Huyo toto ndo kiunganishi chao
Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana?Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
hapa hupati jibu kabisa, ningeshauri atafute huko anakoenda kuabudu maana ndiko atakapopata wenye kumcha Mungu.Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana.
OhoooBaba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana.
Tuna crisis ya taifa at the moment..mngesubiri kwanza
Punguza masharti dada, we sema unataka mume, ishia hapo mengine yatajipa ndani kwa ndani.Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
Kwanza aeleze:-,Usitegemee kupata ukweli kabla ya hujamwoa. Mwoe baada ya mda baba toto nae ata PM, hakuna anaemwachaga mzazi mwenzie mia kwa mia. Huyo toto ndo kiunganishi chao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuna crisis ya taifa at the moment..mngesubiri kwanza
Tatizo lenu tukiwapenda tu, mnatugeuza ma sponsor wenu.
kila mtu afe na chake.
Kila mtu anatafute mkate wake kwa wakati wake mkuu.Tuna crisis ya taifa at the moment..mngesubiri kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mcha Mungu kwani hapa ni kanisani? Kwani kuna shida gani kanisani kwao?Punguza masharti dada, we sema unataka mume, ishia hapo mengine yatajipa ndani kwa ndani.