sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Picha yako tafadharinili tuje PMHabari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM