Natafuta mme

Picha yako tafadharinili tuje PM
 
mkuu unanikatisha tamaa mkuu anaweza kua Mwanamke mwema huyu hebu ngoja tumsikilize Clanzy
Hiyo kudhan ndo tatizo kubwa ktk ndoa, jiridhishe usiwe na haraka. Hakunaga mwanamke anaetafuta ndoa huwa wanatafuta maisha, na kulitakasa jina lake Kwamba haoleki sasa ameolewa. Hii ndo sifa wanazosaka kwa garama zozote... Nimebahatika kuzaa na madem wawili na bahati nzuri wameolewa. Wa kwanza alianza kunikumbuka baada miaka 4 ktk ndoa yake akanitengenezea mawasiliano. Wa pili alianza kunikumbuka baada ya miaka 3, akatengeneza mawasiliano nami. Hivo msidanganyike waliozaa hawaachanagi, labda kwa mda mchache lakin baadae hurudiana kisiri kubwa na usishangae mwenye mtoto nae anasomesha na kutoa huduma za mtt ndani kwako kwa siri. Ikiwa huyo baba mtt amefariki hapo umepata mke, mwoe
 
Chuo gani cha veta au zayoni
 
Mtendee Mtoto waka haki kwani Mtoto anahitaji malezi ya wazazi wawili sasa kama unatafuta mwanaume it means huna muda na baba Mtoto tena Je ukimpata huyo wa sasa atakubali kukuchukua na Mtoto mwenyewe baba yake?...
je ukimuacha kwenu utakuwa umemtendea haki?...
Je Nani wa kubeba mzigo wa mtu mwingine?...
Tabia ya kuzaa bila utaratibu na mipango madhubuti ni kunyanyasa viumbe visivyo na hatia
 
Nimefuatilia reaction zako nyingi za siku hizi walahi you are not jje's i used to know!!....... Ni nini kimekutokea? Wewe ni jje's kweli? Account ya jje's imekuwa hacked??....... Nauliza maswali yote hayo kwa sababu zamani ulikuwa mwanamke mwenye haya na stahaa sana ila siku hizi umebadilika kidogo,i mean siku hizi umekuwa huru zaidi!
 
Pole huo ni mwanzo bd inakuja njaa ya wanaume mpaka muelewe!!
 
Mungu akusimamie upate hitaji la moyo wako, baadhi ya meseji za humu zisikuumize kichwa binadamu hatufanani!!
 
Because of stunter behaviour weweee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hujaacha tu kufuatilia muke ya stunter weweeee
 
Aliyekuzalisha kashindwa kukupenda afu uje upendwe na mimi? Naanzia WAPI? Tafuta aliyefiwa na mke au ukaolewe mke wa pili.
 
Mkuu, waliopo humu Ndio wako mtaani.
 
Hivi ndoa ni for Love au kutimiza tu hali ya kimaisha ya binadamu? Mtoto hana Baba maana siku lazima mtafaruku utatokea Trust me labda awe mtoto wa kuja kusalimia na kuondoka... am sure watakaojitokeza watu pia ila love haitokuwa percent nyingi
 
Kama huyo mtoto anahudumiwa 100% na baba yake njoo tuzoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…