Natafuta mme

Nilitaka kujilikipua huko PM lakini nimeona ameamdika kwa lugha ya malikia post na #37 ngoja nipite tu, hapa sina changu!!!
 
Natumain utapata hitaji la moyo wako nakuombea ikawe hivo
 
Shemeji huo ni ubakaji wa mawazo...
Naona kwako kila neno linasomeka pesa. Watoto wetu wanashida saana.
Watoto wenu wako kwenye mikono salama kabisa hilo usihofu.

Ila hili la kuniahidi kunitumia pesa alafu ukabadili maelezo sio vizuri shemeji.
 
Watoto wenu wako kwenye mikono salama kabisa hilo usihofu.

Ila hili la kuniahidi kunitumia pesa alafu ukabadili maelezo sio vizuri shemeji.
Litakuwa neno pesa liliniponyoka tu shemeji. Pesa za suprise ndiyo tamu bhana
 
Litakuwa neno pesa liliniponyoka tu shemeji. Pesa za suprise ndiyo tamu bhana
Za suprise ziwe nyingi, na zile za taarifa pia ziwe nyingi, kwahiyo wakati unajiandaa kunisuprise hebu nitumie tu kwanza hizo ulizoniahidi.
 
Za suprise ziwe nyingi, na zile za taarifa pia ziwe nyingi, kwahiyo wakati unajiandaa kunisuprise hebu nitumie tu kwanza hizo ulizoniahidi.
Shemeji naona somo la ku remind halikukutupa. Haya taja namba haraka kabla hakujawa jioni
 
mi nasubiri anayetafuta mpenzi... sijapanga kuoa bado!
 
Wote ambao wako hapa ni haohao wengine anaabudunao kwa hiyo hapa sio ulimwengu mwingine, tunao andika hapa ndio tupo mtaani.So hakuna matata
 
Habar
 
Nakubalib100% ila ni vzr amtafute huko huko ili akija hapa awe nae. Ulimwengu wa id fake ni shida ndugu yamgu mshauri tu positively.
Ni mtazamo wangu tu lakini naweza kuwa nakosea vilevile
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwa wanageuka yatima ghafla, utadhani we ndo mzazi wake [emoji23]
How do you take orphans, do you think they are beggers always?
 
mi nakuombea upate wa kukuoa... funga na kusali kila siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…