jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Yap i have decided toPole sana mama, kuna watu mawazo yao ndio huwa sahihi, puuza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap i have decided toPole sana mama, kuna watu mawazo yao ndio huwa sahihi, puuza tu.
Watoto wenu wako kwenye mikono salama kabisa hilo usihofu.Shemeji huo ni ubakaji wa mawazo...
Naona kwako kila neno linasomeka pesa. Watoto wetu wanashida saana.
Litakuwa neno pesa liliniponyoka tu shemeji. Pesa za suprise ndiyo tamu bhanaWatoto wenu wako kwenye mikono salama kabisa hilo usihofu.
Ila hili la kuniahidi kunitumia pesa alafu ukabadili maelezo sio vizuri shemeji.
Za suprise ziwe nyingi, na zile za taarifa pia ziwe nyingi, kwahiyo wakati unajiandaa kunisuprise hebu nitumie tu kwanza hizo ulizoniahidi.Litakuwa neno pesa liliniponyoka tu shemeji. Pesa za suprise ndiyo tamu bhana
Shemeji naona somo la ku remind halikukutupa. Haya taja namba haraka kabla hakujawa jioniZa suprise ziwe nyingi, na zile za taarifa pia ziwe nyingi, kwahiyo wakati unajiandaa kunisuprise hebu nitumie tu kwanza hizo ulizoniahidi.
Wote ambao wako hapa ni haohao wengine anaabudunao kwa hiyo hapa sio ulimwengu mwingine, tunao andika hapa ndio tupo mtaani.So hakuna matatahapa hupati jibu kabisa, ningeshauri atafute huko anakoenda kuabudu maana ndiko atakapopata wenye kumcha Mungu.
ni ushauri tu maana hapa kebehi nyingi zitakuwepo.
kuna kitu najiuliza for sure bila majibu.
Hivi watu wa namna hii wako serious kweli? it means wanakoishi hawajaona kabisa hadi waje humu JF?
seriously? mimi sina jibu kabisa naomba msaada.
HabarHabari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
How do you take orphans, do you think they are beggers always?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huwa wanageuka yatima ghafla, utadhani we ndo mzazi wake [emoji23]
Wapi sasaKaribu saana
Anakaribishwa PMWapi sasa
OkayAnakaribishwa PM