Natafuta mme

Natafuta mme

Kwa mbaaaali naona unabii wa kwenye Isaya 4:1 unaanza kutimia.
Mungu akuoe haja ya moyo wako kamama
 
Kwanzaa Una uhakika kuwa huyo unaye mtafuta amepotelea humu, au unatafuta mradi, uonekane unajishughulisha kuwa unatafuta huyo mumeo ......!!??
 
Wewe acha ujanja week picha Kwanza tuone Kama yaliyomo yamo😋
 
uko vzr dada angu naomba nikutafute
IMG_20190831_182724_2.jpeg
 
Narudia upya kwa uelewa zaidi..natafuta mme aliyetayari kupendwa kwa dhati ambaye muaminifu na yupo tayari kwa mapenzi ya kweli .Nina umri wa miaka 26..0682942959
Haya njoo pm mimi ndio jibu lako
 
Hivii na hao wadogo zenu wanaotuletea pozii mitaani wanajua kama kuna time na wao watakutwa na stage kama hii ya kutuomba tuwaoe hapo baadae !!!?
 
Back
Top Bottom