Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao wakinunua moja wanaikatakata na kuuza vipande na wanapata faida sana.ila zipo nyingi Kenya .lakini unaweza jaribu pengine utabahatika kupata mnunuziHiyo 200/= ni Ksh ?
Sasa mbona zangu ni kubwa sana 8-10kg at a single piece.. Akichukuwa shamban kwangu kwa 30-35ksh akasafirisha let say kila tikiti lika mgharimu 2/= Ksh alafu akafika aka uza 90ksh anapata ziaid ya nusu ya bei aliye nunua profit..
Last year alot of Kenyan were massively coming in our farms here in tizi na walikuwa wakinunua kilo moja kwa 35-38/= Ksh. Ambayo ni saws na 800/= ya Tsh.
Na tuliuza ekari nyingi sana..
Three years ago i tried my hand at farming and had two acres of watermelon. Unfortunately one night hippos invaded the farm and i lost my 200k investment. I believe more and more Kenyans are turning back to farming the fruit and the prices will continue on the downward trend so ask the prevailing market rates and sellHiyo 200/= ni Ksh ?