Natafuta modem unloked

Natafuta modem unloked

mshewa2

Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
77
Reaction score
12
Nina shida na modem ambayo iko unlocked ambayo naweza kutumia any simcard kwa aliye nayo au maelekezo ya sehemu ninapoweza kuipata
Mimi niko Dar es salaam
Asanteni.
 
nikuuzie yangu ya voda izi mpyaa..na cable kwa 20
ku unlock nenda kko wanafanya kwa buku 8 mpaka 10..
ntafute 0712 507060
 
Nina shida na modem ambayo iko unlocked ambayo naweza kutumia any simcard kwa aliye nayo au maelekezo ya sehemu ninapoweza kuipata
Mimi niko Dar es salaam
Asanteni.

Tafuta zile nyekundu za airtel aina ya zte zinaingia laini zote
 
For unlocking service nchek 0654129893 text me kwa hyo numb
 
mkuu,,,nime unlock yangu juzi,,ya vodacom izi mpya,,nauza 30, nakupa na cable ya modem kabisa,,
if interested chek me via 0712 507060,,,napatikana africana
 
Back
Top Bottom