Natafuta Moderm ya Zain.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Wakuu.
Nimezunguka kwenye ofisi za ZAIN/Airtel Arusha kwa siku kadha sasa kila nikiulizia moderm zao za internet, lkn kila safari wanasema zitakuja wiki ijayo,bila mafanikio.
Lkn baadhi ya watu nilioongea nao wanasema zinasambazwa kwa agents fulani ili ziuzwe kwa bei mbaya..kama kuna mtu anajua wapi ntapata anijulishe tafadhali.
 
pole sana pj,,nijuavyo zinapatikana hapo2 ofisini kwao labda kama vp check na aika mangi akuangalizie kny branch yao moshi............
 
pole sana mkuu ndo ufisadi wenyewe huo mpaka modem watu wanazichakachua yani wanazipoteza sokoni makusudi ili wapandishe bei natamani ningekuchukulia uku dar nikutumie kama ingekuwa rahisi kama unakonection nzuri uku najua itakuwa rahisi mana mabasi yako kila siku kuliko kungoja wiki isiyofika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…