PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Wakuu.
Nimezunguka kwenye ofisi za ZAIN/Airtel Arusha kwa siku kadha sasa kila nikiulizia moderm zao za internet, lkn kila safari wanasema zitakuja wiki ijayo,bila mafanikio.
Lkn baadhi ya watu nilioongea nao wanasema zinasambazwa kwa agents fulani ili ziuzwe kwa bei mbaya..kama kuna mtu anajua wapi ntapata anijulishe tafadhali.