K kingwillyII New Member Joined Oct 6, 2017 Posts 1 Reaction score 1 Jul 9, 2025 #1 Habari Wadau Kabla ya Bongo movie ya sasa kuna movie zilitoka kitambo sana wakati huo zilikua available kwenye VHS tu nazitafuta sana mwenye kufahamu tafadhari share nasi tunazipataje. Movie hizo ni kama Fukara Hatabiriki ya mzee majuto Shabwa Kubwa hii iliigiziwa Tanga Gubu la Wifi ya mzee Small na Bi chau
Habari Wadau Kabla ya Bongo movie ya sasa kuna movie zilitoka kitambo sana wakati huo zilikua available kwenye VHS tu nazitafuta sana mwenye kufahamu tafadhari share nasi tunazipataje. Movie hizo ni kama Fukara Hatabiriki ya mzee majuto Shabwa Kubwa hii iliigiziwa Tanga Gubu la Wifi ya mzee Small na Bi chau