Natafuta mpango wa kando

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
6
Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa sirikali, ni mpenda Mungu, mjasiriamali. Mwenye kupenda kwa sifa hizi na ana sifa hizo chini inbox, mambo yatakuwa poa!

Masharti:
1.Akubali kupima afya kabla ya kuanza maraha kwa stage yeyote.
2.Asiwe tegemezi kiuchumi.
3.Awe amesoma na angalau elimu yake ianzie kidato cha 4.
4.Dini yeyote.
5.Rangi na taifa lolote.
 
Ngoja waje wa mipango ya kando, ungekuwa unataka wa mladi wa pembeni ungenipata
 
Haya bwana handsome...ila sharti la kususa utegemezi kwa unayemtafuta ni gumu...labda wataweza!...siku hizi hawachunguziki, wana rangi nyingi..leo hivi,kesho yake anageuka...watakupiga mabomu mpaka utawasoma namba,kaa utulie mdogo wangu..pata mkeo na u make life bwana
 
wee ungekuwa unawagegeda tuu hao wanakushobokea...utumie u hb wako vizuri kaka
 
Mmmh.... Mpango kando maana yake nini vilee?
 
hapo kwenye bold umenitatanisha kidogo hivi unampenda Mungu kwa maneno au vitendo...........wapenda Yesu wanaoa na kuweka ndani mke na sio kugegedana tu.
 
Mmmh.... Mpango kando maana yake nini vilee?

mpango kando.......kwa plain meaning ni hawara au vidumu na vibombonya sasa nashangaa huyu hajaoa anatafuta mpango wa kando
 
mpango kando.......kwa plain meaning ni hawara au vidumu na vibombonya sasa nashangaa huyu hajaoa anatafuta mpango wa kando

Hahahaa.... Nashukuru kwa tafsiri..! Halafu alitoa tangazo love connect anatafuta mpenzi aliye serious.. Sasa sijui ndio kaja kuweka bayana leo kwamba ni mpango kando anaoutafuta...! Hahahaaa.... Duniani kuna mengi!
 
duh labda wamekata kamba.......nina muda sijaingia pande za love connect kumbe kuna makubwa yanaendelea huko.
 
umesema "wadada tu" mbona wewe ni mwanaume! (just kidding)
Sorry am on a wrong channel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…