multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa sirikali, ni mpenda Mungu, mjasiriamali. Mwenye kupenda kwa sifa hizi na ana sifa hizo chini inbox, mambo yatakuwa poa!
Masharti:
1.Akubali kupima afya kabla ya kuanza maraha kwa stage yeyote.
2.Asiwe tegemezi kiuchumi.
3.Awe amesoma na angalau elimu yake ianzie kidato cha 4.
4.Dini yeyote.
5.Rangi na taifa lolote.
Huyu naye, we ulikuwa bado unakaa kwa wazazi mpaka leo?