Natafuta mpango wa kando

Natafuta mpango wa kando

Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa sirikali, ni mpenda Mungu, mjasiriamali. Mwenye kupenda kwa sifa hizi na ana sifa hizo chini inbox, mambo yatakuwa poa!

Masharti:
1.Akubali kupima afya kabla ya kuanza maraha kwa stage yeyote.
2.Asiwe tegemezi kiuchumi.
3.Awe amesoma na angalau elimu yake ianzie kidato cha 4.
4.Dini yeyote.
5.Rangi na taifa lolote.

Huyu naye, we ulikuwa bado unakaa kwa wazazi mpaka leo?
 
Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa sirikali, ni mpenda Mungu, mjasiriamali. Mwenye kupenda kwa sifa hizi na ana sifa hizo chini inbox, mambo yatakuwa poa!

Masharti:
1.Akubali kupima afya kabla ya kuanza maraha kwa stage yeyote.
2.Asiwe tegemezi kiuchumi.
3.Awe amesoma na angalau elimu yake ianzie kidato cha 4.
4.Dini yeyote.
5.Rangi na taifa lolote.

Sifa zako nimezizimia, sasa kuna Padre mmoja rafikiye padre Kimaro wa Kimara, anataka mwezi wake sifa kama zako so inakuwaje?
 
hivi mpango wa kando si nyumba ndogo??ina maana una mke au?
 
unataka mpango wa kando afu hutaki kuchunwa!!!!!!!
chapa lapa wewe.......
 
Hapa serikali inalazimika kuwapima akili watumishi wake kwanza kabla ya kuajiri, na bado upo kwenye Payroll mpaka sasa. Tume ya Utumishi wa Umma mna kazi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom