Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Acha ujinga ww kuna vitu vya kujicommit sioโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.!!! We vipi utambato miti?
Kuslide utaslide hata uwe umejicommit kiasi gani, Kuna kipindi nlipigwa tukio nkapoteana nkawa Sina mahusiano lkn nlikuwa naslide....nlichofanya ni kuwa na marafiki wengi wa kike nafanya timing tu naweka status naselect viewers wa kike tu๐Ÿคฃnajua ktk 20 nikikaza sitoki kavu
 
Tafuta pesa ufanye mapenzi km starehe bro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Mishangazi haiendi gym tafuta hela wewe binti
Hiyo mimama ndo haiendi gym bro! Uko dunia ya ngapi?? Ww sina shaka unadate mimama ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mishangazi tunashinda gym, hao mnaodate nao ni age ya mama zenu.! ๐Ÿคฃ
 
Pole sana!! Unashinda kkoo halafu unakosaje pesa kwa mfano??
Nipm nikupe michongo winga ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sio kwamba sipati Hela napata vzr nasave ikifika kiasi flan inatokea kitu Hela inafekwa vbya sana naweza tafuta 800K nikasave hata 600k inatokea dharura Aisee unashangaa imebaki 125K
 
Sio kwamba sipati Hela napata vzr nasave ikifika kiasi flan inatokea kitu Hela inafekwa vbya sana naweza tafuta 800K nikasave hata 600k inatokea dharura Aisee unashangaa imebaki 125K
Pole sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim

Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.

Dini yoyote sibagui.

Aliyeridhia aje inbox.

Mimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim

Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.

Dini yoyote sibagui.

Aliyeridhia aje inbox.
Wanakuja mkuu
 
Back
Top Bottom