Natafuta mpenzi, awe anaishi Dar

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha ujinga ww kuna vitu vya kujicommit sio……….!!! We vipi utambato miti?
Kuslide utaslide hata uwe umejicommit kiasi gani, Kuna kipindi nlipigwa tukio nkapoteana nkawa Sina mahusiano lkn nlikuwa naslide....nlichofanya ni kuwa na marafiki wengi wa kike nafanya timing tu naweka status naselect viewers wa kike tu🀣najua ktk 20 nikikaza sitoki kavu
 
Tafuta pesa ufanye mapenzi km starehe bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole sana!! Unashinda kkoo halafu unakosaje pesa kwa mfano??
Nipm nikupe michongo winga 🀣🀣🀣
Sio kwamba sipati Hela napata vzr nasave ikifika kiasi flan inatokea kitu Hela inafekwa vbya sana naweza tafuta 800K nikasave hata 600k inatokea dharura Aisee unashangaa imebaki 125K
 
Sio kwamba sipati Hela napata vzr nasave ikifika kiasi flan inatokea kitu Hela inafekwa vbya sana naweza tafuta 800K nikasave hata 600k inatokea dharura Aisee unashangaa imebaki 125K
Pole sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim

Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.

Dini yoyote sibagui.

Aliyeridhia aje inbox.

Mimi ni mwanaume.
Naishi dar.
Umri ;32
Rangi :Black.
Dini yangu -muslim

Natafuta mpenzi awe na sifa hizi
Awe anaishi dar.
Asiwe serious sana (Awe charming)
Umri 20-35.

Dini yoyote sibagui.

Aliyeridhia aje inbox.
Wanakuja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…