Natafuta mpenzi baadae awe mke wangu

Joined
Jun 23, 2017
Posts
16
Reaction score
10
Habari za sikukuu ndugu zangu wakuu
Hope Bila Shaka mko poa na ujenzi wa taifa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo mimi ni kijana wa miaka 29 ninatafuta mwenza ambaye baadae awe mke wangu.
Muhusika awe na tabia njema na pia sichagui rangi wala kabila, awe muslim by religious belief
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na umri kuanzia 19-28.
Mimi ni mwajiriwa serikalini, Nina master ya economy from Toronto University (education qualification) na pia ni mfanyabiashara hapa jijini dar es salama na mwanza
Kwa wadada walio tayar nawakaribisha pm kwa maelezo zaidi.

Wakati mwingine tusichukulie mambo dhihaka na kama huna cha ku comment tafadhali leave or take it. Heshima ni ustaraabu sana
Asanteni na karibun.
 
Kumbe akiwa mke anakua sio mpenzi tena[emoji1549]
Mkuu siku hizi yameshakua majanja haya
Ati awe mpenzi badae ndo awe mke
Jiangalie tu kabla hajawa mke wewe hapo ushaitwa MWANAUME SURUALI[emoji16]
Manake hua yanachimbua nakusafisha kuliko greda[emoji16]
Utaona umemkomoa kumbe umekomolewa mkuu[emoji16]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ subiri tu watakuja bado wapo makazini
 
mashallah mume huyooooooooo.
fulsa jmn.
 
0654191006 kama upo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…