mynah
Member
- Sep 8, 2018
- 59
- 89
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na nimekua single kwa muda mrefu sasa kila nikiingiza gia kwa wanawake wengi simpati yule ninaemhitaji
Mimi ni maji ya kunde,muislam na urefu wa wastani
Mwanamke awe na sifa hizi
1. Asiwe mweusi
2. Awe mchamungu muislamu
3. Asiwe Bonge wala mwembamba shape ya kawaida
Hips
4. Awe mwanafunzi was chuo au aliesoma mpaka form 4 au six kwani na Mimi Niko chuo
5. Kabila asiwe mchaga au mfipa wala muha
6. Kimo asiwe mrefu wala mfupi ni was tan I
Mimi nipo dar tena serious njoo pm ahsanteni wana jamvi nawatakia siku njema