Natafuta mpenzi (ME)

Status
Not open for further replies.

TGB

Member
Joined
Jan 19, 2021
Posts
26
Reaction score
50
Tuanze kwenye urafiki hadi kufikia mpenzi (me)

Sifa zangu;
Jinsia: ke
Umri: 27
Dini: mkristo
Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi)
Elimu: la saba 'b'
Kazi: sina

Sifa za anayetafutwa;
Jinsia: me
Umri: 30-35
Dini: mkristo
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote

Niko Dar es Salaam, akiwa mikoa ya karibu itapendeza, SITUMIWI NAULI utakuja mwenyewe.

NB: Mimi sio feminist yaani si-support slogan ya 50/50 kwa hiyo anatakiwa mwanaume mwenye kuutumia 'uanaume' wake vizuri.
 
Safi ingawa umeandika muandiko imara sana.Yani very straight and to the points.Hata haurembui kidogo?Ndagha fijo!
 
Wewe ni kiboko darasa la saba lakini unatema yai kumshinda hata mwenye PhD ya korosho. Hongera sana.!!!

Any way mm ni mstaafu je una nafasi kwa ajili yangu?
 
Njoo Pm tuyajenge
 
Tafuta kazi kwanza
 
Ww sio feminist ila una vi heterogeneous characters vya ki feminist vimejificha. Ni swala tu la mentorship kidogo kutoka kwa mashost ukiwa ndoani ile uwe feminist kamili. All in all @ la kheri
 
Una watoto wangapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…