Natafuta mpenzi (ME)

Status
Not open for further replies.
Oky ,mm 29, but Islamic,Nichek katika email yangu dedan3913@gmail.com km upo interested.
 
Bujibuji Simba Nyamaume wanyaki wamefika huku? Mimi nilidhani wanyaki Ni madini adimu.
 
Ndoto yangu ni kumpata mrembo wa Kinyakyusa huenda Mungu amejibu majibu yangu. Ng'hobwike fijo. Wana JF tunaomba michango yenu kwa hali na mali
 
Njoo nkuoe
 
umedanganya kewnye elimu, hio content siyo ya darasa la saba B
 
Njoo Nairobi Kenya, na picha yako pia utanitumia...... Mengine I'll deal with you as you treat me.
 
Rangi mbona hujasema mweupe, maji ya kunde, au mweusi tii tupia na picha
 
Hakuna la 7 wa kupanga maneno hivyo karne hii. Wewe una PhD ila hukutaka kutuambia ili tusikuogope.

Anyway mkulima wa vijijini akutafute pia?
 
Taja mali zako ulizonazo.
 
Naomba ufute huu Uzi Moderator
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…