Natafuta mpenzi (Mke)

Natafuta mpenzi (Mke)

Mpongolo

New Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Awe na sifa zifuatazo:
Umri 20-25
Muislam
Mweupe
Mwenye elimu yeyote
Mchapakazi
Mkazi wa Dar es salaam

Umri wangu 26
Nmejiajiri fundi AC
Naishi Tegeta
Njoo pm kma upo tayari
 
Mpogolo wew jinsia gani baba/mama
Mungu akupe unachokitafuta ndugu yangu

#Karibuiringa.
 
Mi mwanaume
Aisee subiri! Utapata mtoto mkali balaa! Chuchu saa sita! Kiuno cha dondora! Akicheka ana mwanya! Mtoto mweupe mashallah!! Mtoto amesoma Chuo Kikuu cha Mogadishu, Somalia!

Mtoto anatoka familia ya kishua!! Familia ya Maustaadh!!mtoto ameishika dini! Yaani swala tano!! Mtoto anavaa mavazi ya kujisitiri muda wote!! Hajawahi kuguswa!! Yaani mzee unaanza mwenyewe kuchana makaratasi!!
 
We mtoto,

kuna dada ana 29 ila umbo dogoo anagari na pia ameajiriwa. Ukimtaka niambie
 
We mtoto,

kuna dada ana 29 ila umbo dogoo anagari na pia ameajiriwa. Ukimtaka niambie
Muunganishe dogo akale maisha. Hata kama kamzidi, age difference isiyozidi 5y ni acceptable mbona.

Kazaa hajazaa?
 
Back
Top Bottom