Natafuta Mpenzi Mtu mzima anaejitambua

Mkongo 1

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
302
Reaction score
352
Habari wana jf ,Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35, nimejitokeza mbele ya wanawake wa jf wenye jinsia ya kike (mwanamke) nina uhitaji wa mke/mpenzi Niko tayari awe tayari kupima afya

Sifa zangu mimi ni mrefu mwembamba mwenye kifua kipana ,maji kunde mengine mengi tutaelekezana pm ,mfano makazi ,kazi, kabila,dini na mengineyo mengi katika kujuana zaidi

Karibu pm mwanamke mwenye uhitaji kama wangu mtoto sina Ila mwanamke pia ukiwa na mtoto sio mbaya

Sifa za mwanamke nimuhitajiye
Awe na shape angalau akikatiza anaonekana amepita mwanamke ,awe mrefu au mfupi sawa ,asiwe mwembamba ,rangi pia sibagui ila zingatia kwenye shape na asiwe mwembamba
 
Nina dadangu ana mshepu atarii,, cjajua utakua na bei gan nikuunganishie, yuko serious kuolewa, aliznguana na jamaake mwaka jana yuko tu hom ana binti 1
Kwa mshepu ule hata mie huwa smtms nammendea nimuonje japo ni sista ila ndo vile tena haingiliki kwa mission zangu
 
Kwenye kundi la nyama wewe ni mapupu au makwasukwasu.
 
Kuna afisa mmoja wa Tume ya Uchaguzi , alikuwa anafundisha Sheria UDSM, ni wakili na pia shosti wa Madam Tukinao changamka akison" yani Asnaa" hana mume mpaka sasa hivi, ila roho yake sijui utaiweza?
 
Mkuu nipe connection niwe Shem wako
 
Niko silias mkuu ila asiwe mkorofi make wanawake wakorofi tunawaogopa make wana element za kiume
Single mama utakufa siku sio zakoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shape ya nini hizo si wananunua tu dukani kwa Mangi?
Muhimu mbunye tu
 
We jamaa ushakuwa dalali ?,hakikupa hela usije kanyaga kwake maana mshamalizana Mambo ya kuja kwa dada kugongea msosi sijui nauli inakuwa hapana
 
Mkuu hujapata tu? Nina bibi yangu anasifa unazozitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…