Mkongo 1
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 302
- 352
Habari wana jf ,Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35, nimejitokeza mbele ya wanawake wa jf wenye jinsia ya kike (mwanamke) nina uhitaji wa mke/mpenzi Niko tayari awe tayari kupima afya
Sifa zangu mimi ni mrefu mwembamba mwenye kifua kipana ,maji kunde mengine mengi tutaelekezana pm ,mfano makazi ,kazi, kabila,dini na mengineyo mengi katika kujuana zaidi
Karibu pm mwanamke mwenye uhitaji kama wangu mtoto sina Ila mwanamke pia ukiwa na mtoto sio mbaya
Sifa za mwanamke nimuhitajiye
Awe na shape angalau akikatiza anaonekana amepita mwanamke ,awe mrefu au mfupi sawa ,asiwe mwembamba ,rangi pia sibagui ila zingatia kwenye shape na asiwe mwembamba